Sunday 25 November 2012

MASHABIKI WAPATA WASIWASI NA BELLE 9

Add caption
Baada yakimya cha muda mrefu kwa msanii Belle 9 kutosikika  na kutofanya vizuri kwa kazi yake ya mwisho aliyoshirikiana na Ben pol inayokwenda kwa jina 'Anaishi nae' mashabiki wameibuka na kusema Wakizungumza mashabiki wake katka kipindi changu cha mchizkichiz Jmosi wamesema wamepata hofu kwa msanii wao kutokana na gemu la sasa lilivyo na ushindani mkubwa hivyo kuchelewa kuachia goma anazidi kupotea kwenye ramani  na kutupoteza mashabiki wake hivyo aache kauli ya kusema anajipanga kila akihojiwa kuhusu kuachia ngoma.Jitihada za kumtafuta belle hazikuzaa matunda kutokana na simu yake kutopatikana!

No comments:

Post a Comment