Sunday 16 December 2012

HEMED PHD AFANYA NGOMA NA RAY C

Msanii wa R&B na mcheza filamu nchini maarufu kama Hemed phd anatarajia kuachia ngoma yake aliyo mshirikisha mwanadada Ray c baada ya afya ya mwanadada huyo kuimalika kutokana na kuathirika na utumiaji wa madawa ya kulevya,Hemed aliandika kwenye ukurasa wake wa facebook alisema''Dar thanx god Ray c amerecovery tumsubirie kwenye ngoma yangu mpya very sooon inatwa I miss you  very hoot track production inafanyika Kili rec na c9,bonge la hit''

No comments:

Post a Comment