Thursday 6 December 2012

MASHABIKI WAONGEA JUU YA BONGE LA BWANA YA SHETTA

Ikiwa ni muda mchache tangu msanii maarufu wa bongo flever anayetambulika kama shetta ametoka kuachia nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la BONGE LA BWANA katika kituo flani cha redio dar es salaam ambayo ilipewa promo takribani mwezi mzima na kufanyiwa uzinduzi wa kufa mtu wiki iliyopita,mashabiki washikwa na bumbu wazi juu ya track hiyo kuwa ya kawaida sna tofauti na wanavyomfahamu msanii huyo kwa ngoma zake za nyuma kama 'mdananda na nidanganye'hivyo wanadai wameipokea kawaida sana tofauti na walivyoisubiri kwa muda mrefu na kumtaka ajipange upya

No comments:

Post a Comment