Monday 24 December 2012

MILLARD AYO AFUNGUKA SIRI YA MAFANIKIO YAKE!

Mtangazaji wa clouds fm almaarufu kama Millard ayo ameamua kuweka wazi siri ya mafankio yake katika kazi yake kwa kuandika  page yake ya facebook leo tangu kupata tuzo ya utangazaji bora miaka 6 iliyopita
kutoka Tanzania Radio Award aliandika"Nikapandishiwa mshahara toka elfu tano hadi elfu kumi kwa wiki kwenye radio niliyokua nkifanyia kazi,sikutamani kufanyakazi nyigine japo nlikua naishi  kwenye hali ngumu sana,Niliahidi ntapambana ili nfanyikiwe kwa hii kazi kwa sababu naamini Mungu ameweka kitu ndani yangu,nasema Amen leo nina maisha nnayoridhika nayo tena sana,nashukru Mungu kwa hilo!!"

No comments:

Post a Comment