Sunday, 2 December 2012

WALICHOKISEMA MASHABIKI WA DAZ BABA IRINGA!!

M
Msanii nguli wa bongo flever nchini almaarufu kama daz baba aliyetamba kitambo na nyimbo zake kama npe tano,elimu dunia,nahitaj wife na zingine nyingi kutoka kundi la daz nundaz juzi desemba mosi alishangaza mashabiki wake pindi alipopanda jukwaani na kuonekana akifanya kizamani shoo yake kwa kutokua makini alipokua jukwaan katika shoo ya mtikisiko Iringa,Mwakilishi wa blog yetu BrownBrown alifanya mahojiano na Mashabiki wa daz baba alipokua akifanya tasminn ya shoo hiyo walieleza hisia zao juu ya Daz baba kuwa ni msanii mkali sana ila walikumsihi afanye shoo ya kisasa  na kuwa mbunifu katka kazi zake kwakua mziki wa sasa unaushindani mkubwa.Japo alikonga nyoza zao alipoimba nyimbo kama barua.shoo hiyo ilikua chini ya udhaminiwa wa EBON FM INTERTAIMENT

No comments:

Post a Comment