Tuesday, 27 November 2012

SHARO FT DULLY=CHUKI BURE OFFICIAL VIDEO


DIAMOND MSANII BORA WA KIUME TUZO ZA ZUMARI


BARNABA ALILIA GITA LAKE

msanii barnaba wiki iliyopita  ameibiwa gita lake alilopewa na mke wa rais wa Marekani Laura Bush katika maeneo  ya Leaders nje na ofisi za THT,akiongea na waandishi wa habari barnaba amesema ilikua siku ya Jmosi majira ya saa kumi na mbili alipoingia ofisin ndipo alipokuta gita lake halipo japo alifunga milango,jitihada za kulitafuta Gita hilo zinaendelea