Wednesday, 28 November 2012

BOMBA FM WAPATA PIGO

Mtangazaji wa Bomba Fm jiji Mbeya anayefahamika kwa jina la Clemence Mpepo ama Mzee wa Makabila amefariki dunia usiku wa kuamukia leo katika Hospitari ya taifa Mhimbili jiji Dar es salaam,Akizungunza na vyombo vya habari mmoja wa wafanyazi wa Bomba Fm amesema hili ni pigo kwao hata kwa tasnia nzima ya habari kwa kumpoteza mwanahabari mwenzao hakika kaacha pengo

KILIMANJARO STARS WAAMBULIA PATUPU

Kilimanjaro stars ni timu inayoiwakilisha vyema Tanzania huko Uganda katika michuano ya Cecafa Tusker leo imejikuta ikitoka kwa kupigwa bao moja na Burundi kwa njia ya mkwaju uliopigwa na Ndikumanya katika kiwanja cha Nambole jiji Kampala

MWILI WA MAREHEMU WAPUMZISHWA LEO

Mwili wa aliyekua mchekeshaji na mwanamziki wa miondoko ya bongo flever maarufu kama Sharo millioner umezikwa leo saa 7 mchana katka kijiji alikozaliwa huko Tanga ni baada ya hupata ajari ya gari alilokua akiendesha mwenyewe akielekea Tanga kwa wazazi wake na kufariki hapo hapo,Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amenii