Thursday, 29 November 2012

HENOC MWAMBA-TONETOLIYO OFFICIAL VIDEO


DNA ALETA MASWLI IRINGA!

Msanii nguli kutoka nchini Kenya anayefahamika kwa jina la DNA anayetamba na wimbo wake wa "Unamaswali mengi kwani we ni polic"anatalajia kutua moja kwa moja hadi kusini mwa Tanzania Mjini Iringa desemba 1 ambayo ni kesho kwa ajili ya kutumbuiza katika tamasha kubwa linalofahamika kama MTIKISIKO na linafanyika mara moja kila mwaka chini ya udhamini wa EBON FM INTERTAIMENT,Msanii huyo atasindikizwa na wasanii mahili wa hapa Bongo akiwemo Roma,Suma mnazalet,Linnah,Prof j, na wengine wengi.Hata hivyo wakazi wa kusini wameonyesha mhitikio mkubwa katika kuhudhulia tamasha hilo kam wakazi wa Makambako,Njombe na Mbeya.