Saturday, 1 December 2012

THE GAME FT CRISS BROWN,TYGA,WIZ KHALIFA,LIL WYNE-CELEBRATION OFFICIAL VIDEO


YEN-CLUB

Hii ndo picha ya members wa club ya YEN CLUB inayojihusisha na utoaji wa elimu ya ujasiiamali muda mfupi baada ya semina leo desember mosii jiji mbeya
Akipiga picha ya kumbukumbu  na members wa club hiyo mhalili mkuu wa mchizkichiz bwana bryson wa 3 (kushoto) muda mfupi baada ya semina

Akipena mkono wa heri mhandishi na mhalili mkuu wa mchizkichiz(kushoto) bwana Bryson na Rais wa club hiyo  bwana Clemenc muda mfupi baada ya kufanyanaye mahojiano kuhusu club yao mwisho wa semina hiyo

Akionyesha moja ja kitabu kilicho na mafunzo ya ujasilamali mkutubi wa clup hiyo katika semina yao iliyofanyika leo desemba mosi katika chuo kikuu teofilo kisanji jiji mbeya