Wednesday, 5 December 2012

SARKODIE FT APPIETUS,KESSE-AZONTO FIESTA OFFICIAL VIDEO


PROF JAY AMTETE DIAMOND!!!

Msanii mkongwe wa hip hop nchin maarufu kama Prof jay amezielezea hisia zake kwa kumtetea diamond juu ya maneno yanayozi kuongelewa kila  sku juu ya msanii huyo kwasas kushuka kimziki amezungumza kwa kupost katika page yake ya facebook na twitter alisema"WATU WANASEMA HUU NDIO MWISHO WA DIAMONDPLATNUMZ,DOGO NDO KWANZA ANAFANYA VYEMA KAMA KUNASEHEMU AMEKOSEA SI MNGEMREKEBISHA TU ILI ASONGE?".

NATAKA KULEWA BEHIND THE SCENE


ALBAM MPYA YA DOGO RAMA

Msanii wa miondoko ya dance Dogo Rama anayefanya kazi katka  bendi ya Twanga Pepeta amesema kwasas yupo katika maandalizi ya albamu ya pili ambayo mpaka sasa tayari kashatengeneza nyimbo tatu japo jina la albamu hiyo linatafutwa hii ni kutokana na albam yake ya kwanza kufanya vizuri iliyokwenda kwa jina la Kilometa 10,000

DULLY SKYES FT OMMY & DIAMOND-UTAMU OFFICIAL VIDEO


CHEGE AANIKA MAISHA YAKE!

Msanii nguli wa bongo flever almaarufu kama chege kutoka kundi la wanaume family likiwa chini ya fela ameamua kufanya filamu yake itakayo kwenda kwa jina la MY LIFE itakayokutanisha wasanii wengine wa bongo flever kama Ay,Chid benz,Mwana fa,Dogo aslay,Afande sele,Q chillar na mh temba  ambayo inatalajia kutoka february 2013,Filamu hiyo itaelezea maisha halisi ya Chege na changamoto alizozipitia tangu alipoanza mziki had sasa

DIAMOND-NATAKA KULEWA OFFICIAL VIDEO