Sunday, 9 December 2012
HOFU YATAWALA AFRIKA KUSINI KWA KULAZWA NELSON MANDELA
Rais wa zamani wa Africa Kusini bwana Nelson Mandela amewashtua watu wake wa karibu kile kinachodaiwa kulazwa hospitalini Msemaji wa Nelson Mandela Foundation Sello Hatang amezungumza na vyombo vya habari kwamba hana taarifa za kulazwa Nelson mandela,Hata hivyo mke wake wa zamani wa Mandela Winnie Madikizela amesema naye hana taarifa za kulazwa Nelson Mandela jijin Pretoria jana
FRAVIANA MATATA ANG'OA TUZO MAREKANI
Miss unverse Tanzania maarufu kama Flaviana Matata jana kapata tuzo ya Face of Africa kwa kujituma katka masuala ya kijamii barani afrika,Tuzo hizo ziliandaliwa na Applause Africa zilitolewa jana huko jijini New York Marekani,Tuzo hizo za pili kila mwaka za Africa Diaspora huandaliwa kwa ajili ya kuwapongeza Waafrica wanaofanya mambo makubwa nje ya balani Afrika na africa pia
Subscribe to:
Posts (Atom)

