Saturday, 15 December 2012

LADY ZHEYNA-NLITELEZA OFFICIAL VIDEO


WILL.I.AM FT BRITINEY-SCREAM & SHOUT OFFICIAL VIDEO


MASTAR KENYA WAKUTANA NDANI YA VIDEO YA DIAMOND

V

Video mpya ya msanii wa bongo flever maarufu kama Diamond aliyoifanyia  nchin Kenya,imehusisha mastar watatu kutoka nchini humo akiwemo Mustapha,Collo na Avril wote wataonekana katika video hiyo itakayoachiwa mwishoni mwa mwezi huu.Akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari alisema track hiyo anaamini itafanya vizur sababu iko katika style ya kuchezeka club

UBAGUZI WA RANGI WA MKUMBA BEBE COOL AUSTRALIA

Msanii maarufu nchin Uganda Bebe Cool kwasasa yupo katika moja ya show zake huko Australia amesema polisi wa nchini humo wanawabagua waafrika kwa kutopenda kuona wakiendesha magari mbalimbali ya kifaharii