Wednesday 18 December 2013

MADAHA AMTUSI TENA DIAMOND!


Ikiwa ni siku chache tangu mastar wa bongo Baby Madaha na Diamond kutupiana maneno machafu na ya majigambo katika vyombo vya habari mbali mbali bila kupatikana chanzo rasmi cha malumbano hayo Baby madaha amefunguka kwa mara nyingine "..akiwa bado ana struggle kupata mkwanja awatishie watoto wenzake wa Tandale,mimi nshazindua Brand yangu ya manukato na mikoba ya zawadi bidhaa ambazo zinaingia sokoni  rasmi Desember 31,awatishe hao hao watoto wenzake mimi sio saizi yake"alisema Baby madaha katika moja ya mahojiano na paparazi wetu

No comments:

Post a Comment