Wednesday 5 December 2012

CHEGE AANIKA MAISHA YAKE!

Msanii nguli wa bongo flever almaarufu kama chege kutoka kundi la wanaume family likiwa chini ya fela ameamua kufanya filamu yake itakayo kwenda kwa jina la MY LIFE itakayokutanisha wasanii wengine wa bongo flever kama Ay,Chid benz,Mwana fa,Dogo aslay,Afande sele,Q chillar na mh temba  ambayo inatalajia kutoka february 2013,Filamu hiyo itaelezea maisha halisi ya Chege na changamoto alizozipitia tangu alipoanza mziki had sasa

No comments:

Post a Comment