Saturday 15 December 2012

MASTAR KENYA WAKUTANA NDANI YA VIDEO YA DIAMOND

V

Video mpya ya msanii wa bongo flever maarufu kama Diamond aliyoifanyia  nchin Kenya,imehusisha mastar watatu kutoka nchini humo akiwemo Mustapha,Collo na Avril wote wataonekana katika video hiyo itakayoachiwa mwishoni mwa mwezi huu.Akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari alisema track hiyo anaamini itafanya vizur sababu iko katika style ya kuchezeka club

No comments:

Post a Comment