Monday 23 December 2013

Bob junior:Sitaoa tena!

Msanii na mtayarishaji wa nyimbo za bongo Bob junior aka Rais wa Masharobaro alifungua na kusema hakuwa na furaha kwenye ndoa yake ndo maana ameachana na mke wake.Akizungumza katika kituo kimoja jijini Dar shida na  ugumu alioupata kwenye ndoa umemfanya asifikirie tena kuoa 
   "Im single,sitaoa tena kwa sababu nimeuona ugumu wa ndoa na wepesi wa kuwa bachelor.Kwa hiyo nimeamua kua bachelor na siwezi kuoa tena,sioi tena jamni Im singel No more kuoa Bob junior"alisema bob junior
     "Unajua unapokua kwenye mahusiano na boyfriend na girlfriend hamna ile uko wapi rudi haraka nyumbani,Umeenda kwenye show ukirud mara kanuna"
       aliendelea kukiambia kituo hicho kuwa ndoa ilikua ikirudisha nyuma maendeleo ya kazi yake kwa kuwa siku saba za wiki ni siku mbili tu anakua na furaha,na kwakuwa kazi yake inategemea ubunifu na utulivu asingeweza kufanya vizuri

No comments:

Post a Comment