Thursday 2 January 2014

Audio;Mrisho Mpoto-Waite

Huu ndio ujio wa msanii Mrisho Mpoto mwaka 2014 kwa kuachia nyimbo yake mpya iliyotengenezwa katika studio yake iliyopo Kinondoni Mkwajuni ,nyimbo inakwenda kwa jina la 'Waite'  kutoka 'Waite record' nchini ya mtayarishaji Alan Mapigo

No comments:

Post a Comment