Sunday 25 November 2012

NEY NAYE APATA MTOTO

i
i
Ikiwa ni karibu kila siku tunasikia juu ya wasanii wetu kupata watoto sasa msanii wa miondoko ya hip hop almaarufu kama ney wa mitego anayevuma kibao chake 'wamenchokoza,'  naye abahatika kupata mtoto wa kiume jana usiku japo haijafahamika mapema kazaa na mwanamke gani na hata jina la mtoto huyo,Tunaweza kusema huyu atakua ni mtoto wa pili kwa msanii huyo kutokana na story ya maisha yake hapo nyuma inasadikika aliwahi zaa na mwanamke mwenye asili ya kihindi

No comments:

Post a Comment