Saturday 21 December 2013

Video:Keko afanya kazi na kampuni ya Sony Music Afrika



Msanii Keko kutoka  256 nchini Uganda ameachia video yake aliyofanya chini ya label ya Sony Music Entertaiment Africa.Keko ndo amekua msanii wa kwanza kutoka Uganda kufanya kazi na kusaini label na kampuni hiyo   lakini pia imewasainsha wasanii wengine kutoka Afrika mashariki akiwempo msanii kutoka Tanzania Rose Mhando

         itazame hapa>>>>>




No comments:

Post a Comment