Saturday 21 December 2013

VIDEO YA GANGNAM YATAZAMWA ZAIDI YA MARA BILIONI 2 YOUTUBE


Mkali kutoka Korea kusini maarufu kama PSY anaendele kuweka record kwenye chart ya youtube kwa kushikiria nafasi ya kwanza kwa kutazamwa maranying zaidi video ilitupiwa kwenye youtube July 15 2012 ambapo iliweza kuizidi video ya justine bieber "baby" katika nafasi ya kwanza ikiwa ni miezi 4 tangu video hiyo iwekwe youtuybe.Mpaka leo hii video ya GANGNAM imetazamwa  mara 1,853,590,663

Icheki hapa..>>.>

No comments:

Post a Comment