Thursday 19 December 2013

STIVE NYERERE NAE AONYESHA NYUMA YAKE

Ile kasumba ya mastar wa bongo kutangaza hadhalani baadhi ya mafanikio wanayoyapata ama mali wanazochuma kutokana na shughuli wanayoifanya sasa  Stive nyerere nae amepost picha inayoonyesha nyumba yake ya kisasa ambayo bado ipo kwenye ujenzi

No comments:

Post a Comment