Friday 20 December 2013

VIFAA VYA THAMANI YA SH MILION 4 VYAIBIWA KWENYE GARI YA NEY WA MITEGO

Usiku wa kuamkia leo msanii wa miondoko ya hiphop Ney wa Mitego ameibiwa vifaa vya gari yake  aina ya Toyota Verosa lenye namba T418 CGK vyenye thamani ya sh milion 4 iliyokua imeegeshwa nyumbani kwake. Akizungumuza na vyombo vya habari alisema jana aliliacha katika hal;i ya usalama wakati anaenda kulala alivyoamka asubuhi alilikuta limeondolewa baadhi ya vifaa


No comments:

Post a Comment