Msanii mkongwe wa hip hop nchin maarufu kama Prof jay amezielezea hisia zake kwa kumtetea diamond juu ya maneno yanayozi kuongelewa kila sku juu ya msanii huyo kwasas kushuka kimziki amezungumza kwa kupost katika page yake ya facebook na twitter alisema"WATU WANASEMA HUU NDIO MWISHO WA DIAMONDPLATNUMZ,DOGO NDO KWANZA ANAFANYA VYEMA KAMA KUNASEHEMU AMEKOSEA SI MNGEMREKEBISHA TU ILI ASONGE?".
No comments:
Post a Comment