Wednesday 18 December 2013

"MISS SUPERSTAR NI NGOMA BORA KWANGU"


Msanii nguli wa miondoko ya hiphop nchini Tanzania amegusa hisia za mashabiki wake wengi katika moja ya interview yake aliposema "Miss superstar ndo ngoma ninayoiaminia  japo mashabiki wengi wanasema dear gambe ndo ngoma poa zaidi lakini Jana na leo ndo ngoma inayoamsha yowe za mashabiki nikiwa stage na kwa sasa nipo katika maandalizi ya video ya Miss superstar" alifunguka rapper huyo

No comments:

Post a Comment