Sunday 20 January 2013

KIWANGO KIBOVU CHATUMIKA KUJENGA BARABARA MBEYA

Ikiwa ni miezi michache tu tangu ujenzi wa barabara uanze katika mitaa ya jiji la MBEYA  kwa kiwango cha lami jana chanzo chetu cha habari kimeshuhudia kipande cha mfereji kubomoka kwa mvua katika mtaa wa BROCK T ikiwa ni wiki moja tu tangu wakamilishe ujenzi wa mifereji hiyo,hii inadhihilisha ni kiwango kibovu kinachotumika kujenga mifereji hiyo.

No comments:

Post a Comment