Monday 23 December 2013

Hii ndio top 10 ya mastar walioshika kwa skendo 2013 Masogange aongoza


    

AGNES MASOGANGE:Video queen wa belle9 masogange 2013 alitikisa na kugusa hisia za mashabiki wake wengi kwa kukamatwa na madawa ya kulevya huko Afriak kusini na kukaa lumande,Lakini alipofikishwa mahakani ilionekana hakubeba mzigo wa madawa ya kulevya bali ni unga wa dawa ya binadamu  akashinda kesi.Pia Masogange aliongoza kwa kuweka picha za nusu utupu mitandaoni na kuzua gumzo kwa watu wengi
WEMA SEPETU:Alitikisa kwa skendo ya kurudiana na mpenzi wake wa zamani DIAMOND baada ya kukutana China na kupiga picha zilizozihilisha kurudiana  kwa wapenzi hao,hali iliyozua gumzo mitandaoni.Japo DIAMOND alikuwa na mpenzi mwingine ambaye ni mtangazaji wa DTV "PENNY"
Lakini alipata majanga mbalimbali ilikiwa na kupelekwa mahakamania kwa kosa la kumpiga meneja wa hoteli ambapo mahakama iliamuru alipe faini ya laki moja 
JACQUELINE WOLPER:Kuachana na mpenzi wake DALLAS  ni skendo iliyotikisa sana japo ilitokea mwaka jana lakini ikavuka hadi mwaka huu.Pia ilipata skendo ya kugombaniana nyumba ya kupanga na BABY MADAHA.Baby alidai alilipa nyumba sh milion 3.6 lakini siku ya kuhamia alimkuta Wolper ameshahamia na kupanga vitu vyake na kupelekea marumbano yaliyozua bifu kali.
BABBY MADAHA:Skendo ya kugombaniana nyuma Wolper na skendo nyingine ni ile ya kuiba mme wa mtu ambaye ni meneja wake na pia skendo ya kutupiana maneno ya kashfa na DIAMOND katika mitandao mbalimbali.


JACQUELINE PATRICK :Kuachana na mmewe Abdulatif Fundikira ni skendo iliyotikisa sana,  ndoa yao haikudumu sana na alipewa talaka Mahakani juu ya kile kinachodaiwa anatoka na msanii JUX
JACK CHUZ:Huyu alitikisa na skendo ya kunaswa na mtego wa kujiuza  ambapo alinaswa na operesheni ya Fichua Maovu  inayoendeshwa na Global Publisher katika hoteri moja iliyopo maeneo ya Ubungo Dar, Baada ya kuelewana na mwanaume aliyekutwa nae kwamba atamlipa kwa Dora.

AUNT LULU:Naye alikumbwa na skendo kujiuza baada ya kunaswa na mtego wa Fidua Maovu katika hotel moja iliyopo Sinza ambapo ni siku chape tu tangu Chuz nae kunaswa .
KAJALA MASANJA:Ni mwaka mbaya sana kwake kwani aliwekwa jelaa kwa kosa la utakatishaji wa fedha haramu uliofanywa na mumewe Faraji Augustino.Alihukumiwa kifungo cha kwenda jela miaka mitano lakini WEMA SEPETU alimlipia faini ya sh milion 13.Pia baada ya kutoka jela ambapoa ilidaiwa anatoka kimapenzi na Petit Man.
JOHARI:Alitamba katika vyombo mbalimbali vya habari baada kupata skendo ya kugombaniana RAY  na msanii mwenzake CHUCH HANS ambapo inadaiwa kuingilia penzi hilo

CHUCHU HANS:Alitikisa kwa skendo ya kile kinchodaiwa kutoka kimapenzi na mpenzi wa MAINDA  ambaye ni RAY hali ilisababisha marumbano baina ya MAUNDA na JOHARI alimpiga kutokana na tetesi zilizo zagaa wawili hao walifumaniwa


No comments:

Post a Comment