Thursday 26 December 2013

Roma aamua kuchukua kadi ya chadema

Msanii wa miondoko ya hiphop nchini Roma Mkatoliki hivi karibuni alisikika akizungumzia kujiunga na cha cha Chadema wakati akipiga story na watu wake kwa karibu "Nnaplan ya kuzamia kwenye mambo ya Politics hivi sasa,By the way wiki ijayonaweza chukua kadi ya chadema rasmi"alisema Roma.Pia alisema atahakikisha wasanii wenzake wanaoimba hiphop kama akina Kala jeremiah wanaunda timu ya maangamizi kuing'oa CCM madarakani,lakini aliwaomba Viongozi wa Chadema kuwa nao karibu pindi wanapozushiwa shutuma za ajabu ajabu  yote hii kwasababu wamejiunga Chagema 
    Wapo wasanii wengi tu waliojiunga na Chama hicho ka Afande sele,Prof  jay na wengine wengi

No comments:

Post a Comment